SIKU moja kupita baada ya mgombea wa Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA Edward lowassa baada ya kuitikisa Arusha Mjini,sasa mafuriko yake yamehamia wilaya Siha mkoani Moshi na kupokewa na umati mkubwa wa watu huku shughuli ziki simama,
Lowassa amewataka watanzania kufanya maamuzi sahihi kwa kumchagua ili afanikiwe kuwa Rais ili awezi kupambana na tatizo kubwa la umasikini kwa Watanzania.
EmoticonEmoticon